RT @JMakamba: Changamoto kubwa sio kuandika Katiba…

RT @JMakamba: Changamoto kubwa sio kuandika Katiba nzuri, hili ni rahisi sana, bali ni kuvuna dhamira za wananchi na viongozi wao kuishi ndani ya Katiba.